cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,176
Yaan huko ni pazuri mno,Mbeya hakuna sehemu haina miti.
Imagine hapa ndiyo katikati ya jijiView attachment 1776105
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app



Heheheeh kumekuchaaaaaaaah.Punguza utukutu kesho nakuja nikununulie kibuyu cha baridi sana.. Sio ile dry.. Ni ile sweet tamu (sio sweet heart lotion loh!)



Kuna vitu nadhani sitakuja kula maishani.
Utajua je utamu bila kuonja? 😂Kuna vitu nadhani sitakuja kula maishani.
Home sweet home! Hapa ni ile njia usawa wa Sokoine?Mbeya hakuna sehemu haina miti.
Imagine hapa ndiyo katikati ya jijiView attachment 1776105
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
The good news ni kwamba siku hizi mchumba wako anapiga vyombo😄😄😄Nimemfyatua picha juzi kwenye viwanja fulani hivi amazing akipiga vyombo.Mchumba![]()
Halafu ni lile trumphThe good news ni kwamba siku hizi mchumba wako anapiga vyomboNimemfyatua picha juzi kwenye viwanja fulani hivi amazing akipiga vyombo.
View attachment 1776277
KhaaaaaThe good news ni kwamba siku hizi mchumba wako anapiga vyomboNimemfyatua picha juzi kwenye viwanja fulani hivi amazing akipiga vyombo.
View attachment 1776277

Mchumba ya kweli haya Saint AnneThe good news ni kwamba siku hizi mchumba wako anapiga vyomboNimemfyatua picha juzi kwenye viwanja fulani hivi amazing akipiga vyombo.
View attachment 1776277
😂 😂 😂Hii sentenso ina ukakasi![]()
Watu wabaya wanataka tuachaneMchumba ya kweli haya Saint Anne














Yesu wanguThe good news ni kwamba siku hizi mchumba wako anapiga vyomboNimemfyatua picha juzi kwenye viwanja fulani hivi amazing akipiga vyombo.
View attachment 1776277




Watu wabaya wanataka tuachane
Wananichafulia CV.
Mwasiti ft Chid Benz _Hao
Wananop nop wakisema mabaya
Wanatoptop mdomoni wanatema faya
Wanatuunguza hawafai
Usipende cheka nao usiwape hata hai
Usipende kula nap hata ikiwa chipsi yai
Nananana.....
Hivi nani alisema maneno yanaua
Na Nani ambaye alizaliwa anajua?
Wanasema ya watu ya kwao yanawashinda
Hao haooooo
Vibarazi Kuna maneno kutoa nimeshazoea
Vicheko kawaida kwani hayo yote maisha
Ninachokipata nakijua mwenyewe
Si pesa Wala si gari ni mapenzi Yale ya dhati![]()



Yeah babe 2moro its my bdayYesu wangu
Hatuachani.
Naomba mtuache, kesho baby wangu anazaliwa.

Wanapoteza muda tuYesu wangu
Hatuachani.
Naomba mtuache, kesho baby wangu anazaliwa.