Nazijua vizuri sana hasa Hiphop.
Ila za kuanzia 2010 kushuka nyuma,si unajua mimi muhenga
We ndo mpenzi wangu
We ndo kioo changu
Nikipendeza mtaani we ndo dizaina wangu wangu
Mshauri wangu wangu
Wa nyendo zangu zangu
Nilikuwa namalizia verse
Sent from my SM-A105F using
JamiiForums mobile app