Why why honey
Mbona uko mbali?
Mimi nateseka mawazo juu yako yananitesa
Leo naona bora jua
Kesho naona bora mvua
Uko wapi daktari
Mwenzio ugonjwa utaniuwa
kwenye joto siwezi kaa
Baridi ndo balaa laa
Siwezi kula ingawa nahisi njaa
Chiku Keto&Chid Benz
Mambo vipi?