Maskini aiseh pole CM Hivi kumbe hata nyie mapenzi yanawasumbuaga ee..pole aiseh.ila na sisi wanawake jaman tunatolea wapi ujasiri wa kumtesa mtu kama
ChickMagnet jamani na muonekano huo mzuri mzuri..au labda pesa yako imeshikana na roho uchunwi kirahisi.
Kweli hatujui tunataka nini.
Ila sio mbaya dear kunywa maji mengi utakaa sawa tu