[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna siku bhana tupo home, cc alivaa heels due kwa mtoko, sasa ile ashuke ngazi kutoka nje, nashangaa mtu chini, wallah nilishindwa kujizuia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila siku utaumwa mgongo!
THCS[emoji5][emoji5][emoji5]Jack Palladino View attachment 1754065
Tobaaaaaaah lolNashangaa kuna watu wanakula bila chumvi.
Wiki hii nakula hovyohovyo tu boss,hata idadi sijui[emoji1787]
Njaa ikiniuma nakula maana yananipa pressure,yameiva kwa mpigo[emoji23]
Kuyaacha yaoze roho inaniuma Sana.View attachment 1754078
Dogo[emoji1787]Tobaaaaaaah lol
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama hadi mwalimu alipiga vyombo,wewe ni nani hata usipige vyombo![emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1754188
Yaani unaenda tu kwa mtu from nowhere unaanza kumpa!Daaah.. jaman si tualikane tu nije nkusaidie kuyavuna/alika majiran zako, au na kugawa inakuuma
Nakuona cc ktk ubora wa hiyo kitu, mweeeeeh wee hapana unaweza maliza tenga zima sokoni.Dogo[emoji1787]
Daah😪itakuwa
[emoji1787][emoji1787]Nakuona cc ktk ubora wa hiyo kitu, mweeeeeh wee hapana unaweza maliza tenga zima sokoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Nzuri sana.
Aliyeniroga kwenye maparachichi nadhani alikufa na vifaa vyake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wallah hata, mie naona haswaah.Aliyeniroga kwenye maparachichi nadhani alikufa na vifaa vyake.
Alifia juu ya mti wa mparachichiAliyeniroga kwenye maparachichi nadhani alikufa na vifaa vyake.
Web pray for her quick recoveryShe is doing good todayView attachment 1754413