Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mpaka mate yamenitoka Soon natimba Maeneo Ambako shetani hayupo nikapate walau nne za bariiiiiid,, katoto kanaumwa so safari nimeghairi bwana
Oh pole Sana,Nini shida???

Nenda bwana ukaeneze na injili huko,,Hakuna vipingamizi vya shetani kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom