Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,320
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah!Karibu ila tu sibebi mtu! Ukishindwa kutembea sababu ya ulevi utajiburuza tu hamna namna! [emoji16][emoji16] [emoji2][emoji2]
Ila browser kila siku wanafanya marekebisho.Mimi kwenye ishu ya kufungua picha tu ndiyo nakereka! Imagine hata picha uliyoweka mwenyewe tu eti nayo inagoma kufunguka hadi yapite masaa sijui mangapi huko!
Kubali kwanza kunipa mwaliko nije Mbeya, nina hakika nitakushinda iwe kwenye New Testament au Old Testament.Tushindane basi mkuu.
Nimemiss uwanja wangu pendwa wa Bible knowledge.
Kubali kwanza kunipa mwaliko nije Mbeya, nina hakika nitakushinda iwe kwenye New Testament au Old Testament.Tushindane basi mkuu.
Nimemiss uwanja wangu pendwa wa Bible knowledge.
Ina maana me nilikuwa namba 2, kwahiyo kuna namba 1🙆🙆We jamaa litakukuta jambo Ohooo ngoja kipenzi changu kiachiwe huko kilipo utaimba ngonjera
Yuko kwa mke mkubwaLeo simuoni Mkwepu
Hahaha ni buku hyo dearNigawie elfu tano
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yuko kwa mke mkubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kubali kwanza kunipa mwaliko nije Mbeya, nina hakika nitakushinda iwe kwenye New Testament au Old Testament.
Ila please Chakorii usimwambie kuwa umeniita Mbeya, hachelewi kunifata na RPC [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah kwa kweli imenisikitisha sana! Another man down!
I hope utaelewa kwanini wengine tumeamua kujiweka pembeni daddy! Tunajijua kabisa kuwa hatuwezi kuvumilia mambo kama haya ndiyo maana tukaona isiwe taabu!
Oooooh kumbe ni mara chache sana, hapo swafiiiih kabisa.We nae si kila mara loh!!mara chache inapohitajika na kujisikia
Ngoja niangalie flight ya Jumapili Mbeya, ili ibada ya mchana niwe kanisani kwenu 😀😀.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inaonyesha uko vizuri Sana mkuu.
Mimi ni mweupe yaani siyo Old Wala New Testament..zote chenga tu!
Ila itakuwa vema maana tutazidi kumbushana Exodus kitabu kilichobeba zile amri 10 za Mungu.
Kila siku utaumwa mgongo!Oooooh kumbe ni mara chache sana, hapo swafiiiih kabisa.
Bayi bayi kitambi nundu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1753578
Daah kwa kweli imenisikitisha sana! Another man down!
I hope utaelewa kwanini wengine tumeamua kujiweka pembeni daddy! Tunajijua kabisa kuwa hatuwezi kuvumilia mambo kama haya ndiyo maana tukaona isiwe taabu!
ejhooooooo amatoki mweeeeee.....[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1753578
Sasa hapo angekuwepo sahaani ya noah pembeni aliekaushwa vizurii daaaaah[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1753578
Kuna kitu imejificha hapaDaah kwa kweli imenisikitisha sana! Another man down!
I hope utaelewa kwanini wengine tumeamua kujiweka pembeni daddy! Tunajijua kabisa kuwa hatuwezi kuvumilia mambo kama haya ndiyo maana tukaona isiwe taabu!
Noah rosti na ugali mlaiiiiniii inanivurugaga kinyama😋😋😋Sasa hapo angekuwepo sahaani ya noah pembeni aliekaushwa vizurii daaaaah
Na Heineken baridi 4