Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyu alivyokujaga kilokole yaani utasema si yeye wa Sasa.
 
Ah hao mie sijawahi kuwaamini kwa kweli yaani watengeneze miguu ya bia wakati wengi wao wanatembelea miwa ya nyongeza? Kwamba wao hiyo miguu ya bia hawaitaki?
Duh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nyinyi wawili, siku nikiweka picha yangu, mjiandae kutoka JF. Mna imani haba sana na mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada kwa visingizio [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Yesu atazitangulia hizo picha wallahi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaani bora tumsubiri Yesu kwanza halafu ndiyo tusubiri picha za HS! Hizo picha kweli ni Heaven Sent yaani siku atayoshuka Yesu toka mbinguni ndiyo picha za HS zitafuatia nyuma yake!
Dah hii dunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Nyinyi wawili, siku nikiweka picha yangu, mjiandae kutoka JF. Mna imani haba sana na mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia ina mengi sana hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…