Selfika na JF: Snap it. Show it

Kitu uelewi ni kwamba hata kwaya ni ulevi pia, imagine mtu anatoka mbeya kaacha familia na mtoto Mchanga anakwambia anaenda kwenye sijui tamasha.
Kila mtu anakaulevi kake,sio lazima iwe pombe.
Yaani nilichomaanisha mimi ni hicho kwa maana ya uraibu.
Sijamaanisha ulevi wa pombe tu!

Hata mimi nina ulevi wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…