Selfika na JF: Snap it. Show it

Wewe unamsikiliza zitto
?

Kwanza juzi kati Mwigulu amesema bungeni inaonyesha jinsi gani mama ana imani na wanayanga
View attachment 1750482
Hadi Mabeyo yupo upande wetu mtatuambia nini
Ila kumbuka tu utawala umebadirika na kila utawala mwingine unapoingia Tanzania sharti la kwanza Yanga lazima atandikwe bao kuanzia 4 mpaka 6 na Simba.
Ipo hivyo tangu enzi za utawala wa kwanza wa nchi hii na tawala zilizofuata ilikuwa hivyo, itakuwa hivyo pia chini ya utawala wa mama.
Jiandae kisaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…