Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha nahivi mimi ni feminist mwenzio, lazima tupendane tu lol.




Hahaha kwa hiyo mdogo angu unashindwa kuelewa utanianzia wapi? Yani hadi nimecheka, umejuaje kama mimi ni mgumu kuamini watu? Tuombe uzima mdogo angu, nitafanya njia tuonane kwa kweli. Hii ni ahadi ya kweli sio kama ile yakupost picha humu
.

But thanks for the compliment nkamu, it means a lot. Kwa kweli huwa unanibariki sana kwenye nyuzi zetu za kupambana na wale watesi wetu; nikikuona tu roho yangu kwatu. Especially kipindi kile ukiwa Marianah, yaani huwa unanikonga moyo. ukianza kubishana hadi nasema eeeh damu ya kinyaki. Ubarikiwe.
 
Kipindi kile cha Marianah alibishana na Nyenyere hadi comments 1000 na kitu

Mimi nilichoka mapema sana.



Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…