[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji3][emoji3][emoji3]Ni ndefu utafikiri Treni ya TAZARA.
Waaahii ilinishinda..halafu kuna siku nilikwenda mlimba nikakukumbuka sana
Aiseh ni kweli kabisa ninamkubali mno na anajua ninamkubali sana.akianza kutoa ushauri kwa kuandika gazeti navuta kiti na mahindi naanza kuchoma..ananondo sana.hana tofauti sana na Heaven Sent katika uandishi
Mate yamenijaa mdomoni nasikia kutapika hakyamama tena🤮kwani wewe ni kabila gani agrrrrrKenge mkuu, hutumii? Leo kifutuView attachment 1748526View attachment 1748525
Duhh!!!Haya mambo magumu sana.
Walimzurumu mtu mazao yake baada ya kumkodishia shamba,wakaja kumruka kuwa hawakumkodishia.
Jamaa naona kawazidi maarifa upande mwingine,hapo wanaenyeka hawajui chochote.
Hahaha hazard siwezi muacha maana ni kaka yangu kabisa nikimuacha atapotea! Huyo mwingine anateseka na nini na anateseka akiwa wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karma tumuache Hazard CFC na yake...vip kaka Behaviourist ina maan umuon anavyo teseka jmn
Vipi mrembo mbona unatoa macho?[emoji15]
Haahaaahaa niweke basi hata kwa huyo qeen jojoHahaha hazard siwezi muacha maana ni kaka yangu kabisa nikimuacha atapotea! Huyo mwingine anateseka na nini na anateseka akiwa wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38]kama hayaudhi tunaishi nayo tu Tutafanyaje sasa[emoji1787][emoji1787]
Nami nimeshangaa sana! Haya magonjwa ya mlipuko yanasababishwaga na mambo kama haya haya ya watu kutaka kula kila kitu sijui popo sijui nyoka sijui kenge wooiii! [emoji2297][emoji2297] [emoji3064][emoji3064]Mate yamenijaa mdomoni nasikia kutapika hakyamama tena[emoji2961]kwani wewe ni kabila gani agrrrrr
Don baba huyo ni nyoka au macho yangu [emoji2960][emoji2960][emoji2960]kwahiyo nae pia ni msosi wako[emoji45][emoji45]
Polee jipige kifua nasema Mimi ni mwanaume, kukosa ni njia moja ya kujifunzaNilipendwa nikaringaaaaa walahiiii alivoondoka mpaka leo najutaa
mwaka, huu nitaleta kadi hapaPole kwa kukaa na kihoro muda mrefu 🤛🤛
Haya na wewe unaoa lini sasa
😁😁😁😁[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji3][emoji3][emoji3]
Au ile treni ya Gerezani - Pugu
Haha namiss sana safari za treni aisee! Mbona haukututumia hata kapicha sasa jamani?
Wana nondo sana though mimi namkubali HS zaidi atleast ndiye ambaye naweza taniana naye humu ila Mtende namuona yuko serious sana and so far mimi na yeye hatujawahi interact humu! Huwa naona mnainteract mara kadhaa na inaonekana you guys mmeclick vipi unafahamiana naye nje ya JF?
NishajifunzaaaPolee jipige kifua nasema Mimi ni mwanaume, kukosa ni njia moja ya kujifunza
mwaka, huu nitaleta kadi hapa
SafiiiNishajifunzaaa
Kwahiyo tusiopenda Kiki umeamua kunipiga chini🥺🥺🥺Polee jipige kifua nasema Mimi ni mwanaume, kukosa ni njia moja ya kujifunza
mwaka, huu nitaleta kadi hapa
Aah nimeshangaaa tu dgo bado ata miezi 6 bdo unataka kumtafutia mama wa kambo ...Vipi mrembo mbona unatoa macho?
Kwani mkwepu si robot lilee au [emoji23]....ngoja nilewe nitapambana nae tu
Haahaha nilijua kilimanjaaro inawakilishwa na ulabuMangi sasa[emoji16][emoji16][emoji16]unaiwakilisha klm ipasavyo.safi
Hahahahaa namrusha roho Lee Mimi bado nasikiliza ombi langu kwako huko piemuKwahiyo tusiopenda Kiki umeamua kunipiga chini🥺🥺🥺