mdogo wangu usichezee bahati hiyo achana na Lizarazu hakufai huyo nenda kwa wanaume wanaojielewa kama hao hivi mbona nilishakufunda lakini hausikii unataka kuniaibisha mimi dada yako?? Nitaambia nini watu mimi jamani??