Hapana usijitetee..Daaah!
My brand is falling apart...
Kwa hiyo nianze kujitetea tena kuwa mimi sio SYB.
Kazi kweli kweli.
Halafu ndio yule nilikuahidi kukutajia [emoji85][emoji2096]Ni mkuu(babake Chakorii)mstaarabu sana.
Umeanza lini kupiga ramli we mtakatifu😁😁.hamna bhana 😄😄Halafu ndio yule nilikuahidi kukutajia [emoji85][emoji2096]
Nadhani sina deni tena
Umeshamtaja..
Usinambie nimekosa[emoji86]Umeanza lini kupiga ramli we mtakatifu[emoji16][emoji16].hamna bhana [emoji1][emoji1]
Naomba Sasa uselfike boss.Nimekuelewa Boss.
😁😁😁😁 mchokonoaji sana mtakatifu.😂😂ndo ushakosa 😃Usinambie nimekosa[emoji86]
Asante sana mkuu.Hongera Mkuu kuwa na Baba mstaarabu.
Natumai siku moja nitapata bahati ya kumfahamu.
A wapi sijakosa[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mchokonoaji sana mtakatifu.[emoji23][emoji23]ndo ushakosa [emoji2]
Mi mwenzenu namuona kama yeye[emoji23][emoji23][emoji23]sijui nina matatizo gani!Asante sana mkuu.
Utakuwa unamfahamu tu sema mtakatifu katumia ufupisho [emoji851]
Umejuaje madame Ramli😃😃😃Mi mwenzenu namuona kama yeye[emoji23][emoji23][emoji23]sijui nina matatizo gani!
Basi tu kichwa changu kinaniambia hivyoUmejuaje madame Ramli[emoji2][emoji2][emoji2]
Hiyo ramli yako iko na mchele mchele mwingi sana😂😂😂😂😂😂A wapi sijakosa[emoji1787]
Tangu siku ile nilitaka kutaja ila nikaona niwaze Sana.
Ramli zangu zote zinagonga hapo hapo.
😃😃😃wacha bhanaBasi tu kichwa changu kinaniambia hivyo
Jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo ramli yako iko na mchele mchele mwingi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuweka tu selfie hadi ripoti?[emoji134]Ombi lako linafanyiwa upembuzi yakinifu.
Ripoti ikitoka utafahamshwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]wacha bhana
😃😃😃weee usiniambie bhana...Jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila sijawahi kukosea..labda hii iwe ya kwanza kuchana mkeka.
Na hilo ni jambo la msingi kuendelea kuheshimu🥂Atakuwa na maana yake kufanya hivyo.
Naheshimu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji2][emoji2][emoji2]weee usiniambie bhana...
Kwahiyo uko vizuri katika utabiri sio