Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sikutegemea haya maswali aisee!

Sijaoa Boss wangu,

Ukisema nataka kuhangaika na wake za watu, ni kama vile nina kampango kibindoni kabisa kakutembea na wake za watu. Sio sawa

Kweli, sijawahi panga kabisa kudhulumu furaha ya ndoa za watu.. Hizi hisia zimekuja tu kama ajali katika pitapita zangu..

Na ndio maana najaribu kadri niwezavyo nitoke kwenye hii ajali bila majeruhi.
Ulitegemea maswali gani?

Kwanini usioe ili kuzuia kumtenda Mungu dhambi kwa uzinzi?

Wewe si umesema hapa una mpango wa kutembea na mke wa mtu!?
Naona ni sawa.

Ajali ya kujitkia??!?!
Kila la heri katika kulipua bomu.
 
Cheers
20210407_172034.jpg
 
Nimesema kuwa ni "Jaribu la kutaka kuchepuka".

Kwa mtizamo wangu, jambo linapokuwa "Jaribu" maana yake hukulitegemea. Kweli mtu nakaa kabisa mezani naanza kujipangia jaribu. Mmh!

Lakini kama wewe unaona jaribu linakidhi kigezo cha kuwa mpango, naheshimu mawazo yako.

Kuoa si jambo baya, ila sijaoa kutokana na sbb zilizo nje ya uwezo wangu. Hata hivyo nimepokea ushauri.

Nashukuru pia kwa ushauri wa kulipua bomu.

Be blessed Mkuu.
Ubarikiwe pia.

Si kila tatizo ni jaribu.
Jaribu si jaribu hadi limekufikisha njiapanda.

Ila Mungu ni mwaminifu utavuka.

Sijui kwa nini hii ID nailinganisha SYB.
Karma nasema uongo!?
 
Back
Top Bottom