Yaani mida kama hii mimi ndio kunakucha
Ni kupuliza Moto hadi asbh
Mimi hadi njiani natembea nasoma,hadi nafika karibia na chumba Cha mtihani ndio naweka samare yangu kwenye ndoo ya taka.
Kiujumla sijawahi ridhika kukaa bila kusoma aisee..
Hiyo ni tangu naanza kusoma hadi namaliza.