Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji114] Shikamooo saint anne
 
Huku kwenye bongo fleva ndo mnapotea kabisa[emoji1787]
Hamnipati...

Akija huku ataharibu kabisa [emoji23]
Bora abaki na za kanisani zilezile.
 
Nalistahili kupotea
Lakini nahurumiwa
Mungu amenipatanisha
Na Yeye kwa Yesu Kristo

Hivi vyote vyatoka wapi?
Nasema ni huruma tu!
[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
 
Kale nilitembea
Nikilemewa dhambi
Nilikosa msaada
Kuniponya mateso

Usifiwe msalaba
Lisifiwe kaburi
Linalozidi yote
Asifiwe mwokozi


Panapo msalaba
Kinatolewa cheti
Cha kuingia Mbinguni
Kisicho Cha kabisa


Yule bwana mjinga
Likwenda bila cheti
Kitumai kuingia
Kama walionavyo

Jitahidi uingie
Damuni mwa mwokozi
Utafutiwa dhambi.....
[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji444][emoji444]
 
Mumebaki wawili myajenge tafdhali me nalala zangu

Mwanamke siku zote usikubali kulala na ugomvi ikiwa unauwezo wa kuumaliza namkala kwa amani

kwa wana ndoa kulala na hasira kila mmoja mnalala mumetegeama migogo aistaili kitandan sio sehem ya kuchuniana

Saint Anne ugomvi uishia seblen sio ufike chumban [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Wala hakuna ugomvi[emoji7]wizo wangu.

Kiroho Safi Jack brother wangu nimemgawa kwako
Kwani sh ngapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]barida tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huu wimbo nimekumbuka tulilazimishwa kuimba tulivyomaliza Ue yetu ya mwisho.
 
[emoji123]

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Mungu ni Pendo
Apenda watu
Mungu ni Pendo
Anapenda

Sikilizeni
Furaha yangu
Mungu ni Pendo
Anipenda

Nalipotea
Katika dhambi
Nikawa mtumwa
Wa shetani

Akaja Yesu
Kuniokoa
Yeye kanipa
Kuwa huru

Sababu hii
Namtumikia
Namsifu yeye
Siku zote[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji444][emoji445][emoji444]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…