Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Basi mimi leo tangu asubuhi nauimba
Usinambie

Leo nimepiga nyimbo chache Sana.

Huo hapo wa Bethel
Kinondoni Revival_imekwisha
Kijitonyama Upendo group_Njooni kwangu
Agape choir (wale wa Arusha)_Upendo wa Mungu
Hati ya mashitaka(sijui wameimba watu gani wa zamani sana)
Mateso yake Bwana Yesu_Mabibo kkkt
 
Usinambie

Leo nimepiga nyimbo chache Sana.

Huo hapo wa Bethel
Kinondoni Revival_imekwisha
Kijitonyama Upendo group_Njooni kwangu
Agape choir (wale wa Arusha)_Upendo wa Mungu
Hati ya mashitaka(sijui wameimba watu gani wa zamani sana)
Mateso yake Bwana Yesu_Mabibo kkkt
Hati iiiih hati
Hati ya mashitaka na hukumu ilifutwa

Dooh kweli nimezeeka
 
Wengine wanakesha baa
Wengine wanakunywa mapombe
Ila mimi ninakunywa chai ,chai na ubwabwa
(In Angel Benard's voice)
ice_2021-04-02-21-50-06-442.jpg
 
Hati iiiih hati
Hati ya mashitaka na hukumu ilifutwa

Dooh kweli nimezeeka
Hati ya mashitaka na hukumu ilifufwa
Furaha tuliyonayo ndani yake Yesu..
Tumehesabiwa haki bure pasipo Sheria.


Ooh kindumbwe-ndumbwe Cha utukufu Bwana Yesu yu hai



Kuna Album naitafuta ya watu was Nzega..
Kuna wimbo ulikuwepo mule
"Ulipowadia muda"

Old is gold
 
Back
Top Bottom