Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umeua uchumba wetu wakati May mwaka huu tulikuwa tunamaliza mwaka.

Mimi nawatakia kheri.
Ukisema hvo ina maan hauna iman na kaka ako mkwepu sio? wewe ndo ulipamban mpka leo tunapendana na kaka ako jmn vip tena

Hv ujui kuwa mume wa wifi yako ni kaka ako????

Yaan mimi Jack Palladino ni kaka angu maan kwako ni mume na mimi ni wifi yako tulia mama mali yako hyo
 
Huyo nakugawia
Utakuwa nao wawili.

Aliyenacho anaongezewa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
No!
Nimehamisha app ya jf kwenye simu nyingine maana huko kulikuwa na bando...
Namalizia tu kulog in wananiambia bando limeisha[emoji134]
Hivi ni wajinga gani wamefanya haya mambo?
Huu ni ukatili jamani[emoji34]

Ningekuwa mchawi leo ningeroga watu wallah
Pole mnoo
Huko mbeya hakuna mali zilizoachwa na mjerumani tuzitafute tupate ela?
 
Mbona nyie ni macrush[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Wivu huuu[emoji23][emoji23]
Hapo ndo ulipokosea angetokea mwingine sawa sio wewe uliye tafutiwa mume [emoji3][emoji3]
Ucrush huu wangu hauna madhara kwa sababu mimi sijamtaka S TO I C..alinicrushia mwenyewe.

Sasa yeye Jack kakucrushia wewe...Bora wewe ungekuwa umecrushia yeye.
 
Back
Top Bottom