Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,662
Wala, nishakutafutia utaikuta.Hukusema bwana.
Usinichoshe bure kuangalia.
Wala, nishakutafutia utaikuta.Hukusema bwana.
Usinichoshe bure kuangalia.
Weka ushahidi mezani......Hivi kwani hujaona tu jinsi nilivyo mrefu???
Huku mguu ndo usiseme
Hapa bado mwili tu kunenepa ili nibalance na mguu wangu.





hata hela unazokunywa mirinda....uki make mbona unajenga kalumbu..Sina hata kibanda Cha kuku..
Lakini ningepata hiyo nafasi ya kuwa na hizo hela ambazo nyie mnanywea pombe,,nadhani ningekuwa na kibanda Cha kuku Sasa.
Miguu na mikono tayari minene..Weka ushahidi mezani......![]()
Ni baada ya miaka mitano.hata hela unazokunywa mirinda....uki make mbona unajenga kalumbu..
..
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Ndugu yangu mbona unazurura sana,unatafuta kitu gani?🙃🙃🙃hahahahahah
Huu mguu utakuwa unavaa 37-38
Nitaangalia.Wala, nishakutafutia utaikuta.
Unaona umekaa kithelathini thelathini huo??Huu mguu utakuwa unavaa 37-38


Yeah una range humo humo. Mkivaa vile viatu vyenu ambavyo ukivivua vinajikunja kama jongoo, lazima vikutosheUnaona umekaa kithelathini thelathini huo??![]()




basi nikijenga after six months.....nitakusubiri baada ya miaka mitano ujenge na wwNi baada ya miaka mitano.
Lakini bia ndani ya miezi 6 tu nyumba inainuka.
Sawabasi nikijenga after six months.....nitakusubiri baada ya miaka mitano ujenge na ww
mwisho wa siku wote tunakua na nyumba...na nyumba haziandikwi mwaka zilizojengwa
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Nikazani bebeluLeo nipo makini na lijibuzi la naziView attachment 1741208
Nacheza kwenye 40'sYeah una range humo humo. Mkivaa vile viatu vyenu ambavyo ukivivua vinajikunja kama jongoo, lazima vikutoshe![]()
Nacheza kwenye 40's



next time nitahitaji kuona label chini ya soli


















