Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

inabd tuuuangalie huu ukaka na dada wangu mimi na ww una viraka kibao....tuuvunje uwe mchumba angu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Naona unataka haribu mambo zaidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka msaliti kaka yako?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]baba joyce hana baya ....analea sasa hivi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
hangover kaliiiiii
Screenshot_20210402-102644_WhatsApp.jpg

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwa mwezi unakunywa bia za sh ngapi?
unataka kuleta umotivation speaker kwamba ningekua nimejenga kwa idad za bia nazokunywa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

sijawai jua nakunywa shingap kwa mwezi....koz sinywi siku zote kuna break hua zinatokea so sijuagi idad za bia.....

cha Muhimu Mungu ni mwema anatupenda wote Wanywa bia na wanywa mirinda

amen[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mateso yake Bwana Yesu yalikuwa na tabu nyingi
Lakini bwana wetu Yesu aliyavumilia

Alipokuwa msalabani alifadhaika sana
Akasema Eloi Eloi lama sabakthani?
Yaani
Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha?

[emoji444][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445]

Holy Friday
 
unataka kuleta umotivation speaker kwamba ningekua nimejenga kwa idad za bia nazokunywa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

sijawai jua nakunywa shingap kwa mwezi....koz sinywi siku zote kuna break hua zinatokea so sijuagi idad za bia.....

cha Muhimu Mungu ni mwema anatupenda wote Wanywa bia na wanywa mirinda

amen[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Nilitaka nianze kupiga hesabu za bia kwa miezi 6 nikilinganisha na bei za kiwanja[emoji1787]

Ila mchumba wangu Jack angekuwa na nyumba zisizo na idadi huku kijinini Kama nikipiga hesabu za pombe anazokunywa.
 
jack mwanahapa....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Stalin baada ya kifo chake alirithiwa na Nikita Khrushchev., Siku mmoja akiwa ana hutubia Kamati Kuu huku akipinga sera nyingi ya mtangulizi wake, Mjumbe mmoja bila ya kujitambulisha alikereka na akamundikia ki note cha kumshutumu na kumlaumu, "we Nikita ulikua msaidizi wa Stalin, "kwa nini hukusema haya kipindi hicho Stalin akiwa hai?" Khrushchev akakisoma na akaomba Mjumbe aliye andika anyooshe mkono juu amtambue ili amjibu .Hakuna mkono uliyo nyooshwa, Khrushchev akasema "kinacho kushinda wewe kunyoosha mkono leo , ndo hicho hicho kilicho nishinda mimi kusema enzi hizo"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahahahahah
 
Back
Top Bottom