Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
Maslai yao yametekenywa nafikiri..na yataendelea kutekenywa mno.
Wana chuki mbaya sana
HawajitambuiNa yule mwingine kimti2014[emoji1139]
Maslai yao yametekenywa nafikiri..na yataendelea kutekenywa mno.
Wana chuki mbaya sana
HawajitambuiNa yule mwingine kimti2014[emoji1139]
Naomba niwe crush wako eeh[emoji6]
Kesi hyooo[emoji119][emoji119]
Naona uchumba ushaingia doa...Mwenzangu ana crush wake...[emoji3] worry out my crush[emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndugu zangu niombeeni nifike salama nipo njiani nampelekea Karma zawadi![emoji51][emoji51][emoji51]View attachment 1740347
Ahaaa mchumba, huyo ni crush tu[emoji3]Naona uchumba ushaingia doa...
Bado kuvunjika tu na wakati ulibaki mwezi mmoja umalize mwaka,,tuweke anniversary humu[emoji23]
Hauwezi kuvunjika jmn wifi yangu...Naona uchumba ushaingia doa...
Bado kuvunjika tu na wakati ulibaki mwezi mmoja umalize mwaka,,tuweke anniversary humu[emoji23]
nne ni nyingi??[emoji15][emoji15][emoji15]Zote hizo[emoji1787][emoji1787]
Tofauti yangu na yako ni kwamba mimi nilipendwa humu na mtu mwingine,wewe umeamua kumpenda mwingine.
mmmh sijaelewaTofauti yangu na yako ni kwamba mimi nilipendwa humu na mtu mwingine,wewe umeamua kumpenda mwingine.
Hauna siku nyingi utakufa,japo nilitamani umalize mwaka.
Nimekutafutia kaka yangu naona umebeba na bwana wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hauwezi kuvunjika jmn wifi yangu...
Gwe ugwe gwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Amenisaliti huyo..
Hivi hii raba hainitoshi nikupore?Kila siku ni zawadiView attachment 1740911
Pengine inakutosha. Ngoja niwahi kwenye ofisi za New Force ili niitume [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Hivi hii raba hainitoshi nikupore?
Ni namba ngapi hiyo raba?Pengine inakutosha. Ngoja niwahi kwenye ofisi za New Force ili niitume [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
inabd tuuuangalie huu ukaka na dada wangu mimi na ww una viraka kibao....tuuvunje uwe mchumba angu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amenisaliti huyo..
Navunja uchumba.
Hiyo ni 41.Ni namba ngapi hiyo raba?
Usinambie ushaondoka!!
Unaondoka kimyakimya [emoji28]Hiyo ni 41.
Nishaondoka tayari, J5..