Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Unaniacha mchumba[emoji2357]Amenisaliti huyo..
Navunja uchumba.
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Unaniacha mchumba[emoji2357]Amenisaliti huyo..
Navunja uchumba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Stalin baada ya kifo chake alirithiwa na Nikita Khrushchev., Siku mmoja akiwa ana hutubia Kamati Kuu huku akipinga sera nyingi ya mtangulizi wake, Mjumbe mmoja bila ya kujitambulisha alikereka na akamundikia ki note cha kumshutumu na kumlaumu, "we Nikita ulikua msaidizi wa Stalin, "kwa nini hukusema haya kipindi hicho Stalin akiwa hai?" Khrushchev akakisoma na akaomba Mjumbe aliye andika anyooshe mkono juu amtambue ili amjibu .Hakuna mkono uliyo nyooshwa, Khrushchev akasema "kinacho kushinda wewe kunyoosha mkono leo , ndo hicho hicho kilicho nishinda mimi kusema enzi hizo"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mguu ndio upo hivyo. Kwan ww wavaa size ngapi?
Haukusema bwanaNilikwambia when it might happen, nenda kaangalie vizuri [emoji4][emoji4]
Ndiyo ndiyo.
Mmh are u sure? [emoji41][emoji41]Haukusema bwana
Macho yako yanakudanganya vibaya sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuona kadogo aisee[emoji1787]
Umeanza wewe,mimi najiongeza tu!
NdiyoMmh are u sure? [emoji41][emoji41]
39-40Macho yako yanakudanganya vibaya sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe wavaa kiatu size gani?
Nilikwambia exactly lini naondoka..... Utakuta msg ya ushahidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo
Wewe j5 umeshindwa niambia jamani.
Sio kweli. Wewe ni kati ya 35-37 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]39-40
Kama huku Tukuyu nadhani angekuwa na nyumba mtaa mzima.jack mwanahapa....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Heee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kweli. Wewe ni kati ya 35-37 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ww ambae huywi una nyumba ngapi isyesye.......2[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kama huku Tukuyu nadhani angekuwa na nyumba mtaa mzima.
Hata wewe Kalumbu sasahivi ungekuwa na nyumba hapa Uyole,nzuri tu!
Hebu weka nione [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Heee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niweke mguu wangu hapa uone??
Kwetu hakuna anayevaa hiyo namba na mimi ndio navaa namba ndogo kuliko wote[emoji1787]
Hiyo 35 mbona namba ya watoto wachanga??
Sina hata kibanda Cha kuku..ww ambae huywi una nyumba ngapi isyesye.......2[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hukusema bwana.Nilikwambia exactly lini naondoka..... Utakuta msg ya ushahidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Biblia inasema hapa duniani tunapita tu. Sasa mkuu wewe unaweza kujenga nyumba njiani?ww ambae huywi una nyumba ngapi isyesye.......2[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hivi kwani hujaona tu jinsi nilivyo mrefu???Hebu weka nione [emoji1787][emoji1787][emoji1787]