Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii kitu inatia hasira sana
F93BF436-1F94-40CB-AADA-1A87187D5EE1.png
 
Mkuu huoni unataka kunijengea taswira mbaya kwa akina Saint Anne , Chakorii , Noelia wangu?

Tena Saint Anne ndiyo alianza kunifundisha tenzi za rohoni wiki iliyopita, huoni ataniacha kwenye safari ya mbinguni😂😂

By the way, ni muhimu kujenga mazoea ya Ku check afya zetu mara kwa mara, sio HIV bali magonjwa yote.

Happy Easter
Nakusubiria hapa nchi kavu utoke baharini kwanza ndo nijue ni taswira gani nitakujengea
 
Back
Top Bottom