Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,840
- 57,484
Kwani mwenzio alitekelezwa? Njoo Pekupeku unisalimie basi. Hayo mambo ya kukimbiana na kibendi ni mambo ya vijana.Akuuu zeeka mwenyewe babu wewe..kama uliweza kunidanganya kwa kukaa baharini kipindi chote hicho,utashindwa kunitelekeza na kibendi?!!akuuuuuuuuuuu
Miye na Uzee huu hata kukimbia siwezi 🙊😅


