Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
Bado dogo till 31/03 niletee zawadiHappy birthday in advance dogo
Bado dogo till 31/03 niletee zawadiHappy birthday in advance dogo
StakiFanya kama unajikuna

Mmmh! kila abilia achunge mzigo wake , nitakacho kusaidia tu kama utaibiwa wa kwako kitakuonesha aliye uiba basiiNaomba uwe mlinzi wangu. Nahisi mambo mengi yananipita humu, aisee naibiwa bila kujua!


Siyo 30???Bado dogo till 31/03 niletee zawadi
Afu wewe nimekukamata ile picha ni yako? Kuna mahali nimeiona full.Staki![]()
S T O I C huyo
Amenichomesha mahindi hadi saa9 za usiku halafu ameweka picha ya ramani ya dunia.



Sina hamu Mimi🤣
Yes unajali sana wew katoto sikutegemea kama utakumbuka ,, nitakuletea ile mishkak ya tukuyu ujisosomoleSiyo 30???
Kumbukumbu zangu zinanikumbusha kuwa ni tar 30.
Lakini siyo mbaya...bado ni in advance
baba joyce.....habari za jumanne mkuuYes unajali sana wew katoto sikutegemea kama utakumbuka ,, nitakuletea ile mishkak ya tukuyu ujisosomole
Safi SanaAnd it's ............ Philip Mpango
Panda mkuu😅😅Naomba lifti
Nikushikilie kwa wapi, usije ukanibwaga tu.Panda mkuu![]()

Shikilia unyayo😅Nikushikilie kwa wapi, usije ukanibwaga tu.![]()


Umependeza babe


