Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Maharage mazuri wali bokoboko 😒Chakula leo kilikuwa kitamu eti
Njoo ule.
Maharage mazuri wali bokoboko![]()

Sindio ndomana minajuaga kabisa huwezi shindan na mwanmk mezanj eti unamlazimisha kula kula eti huyu halagi kabisa😂😂😂😂
Kimenipa hamu ya kula..
Leo siku nzuri kwangu,
Siku nyingine hamu ya kula hupotea maana nakuwa nishaonja wakati wa kupika.
Mnada ni ziada na kwenye Liturgia haupo...umepachikwa tu pale.Ibada ni kifurushi
Kati ya vitu vivyounda hicho kifurushi ni pamoja na mnada.
"Naenda ibadani"
Kwa kweliSindio ndomana minajuaga kabisa huwezi shindan na mwanmk mezanj eti unamlazimisha kula kula eti huyu halagi kabisa![]()



Kama utakua uko active hizi ibada za kilokole baada ya neno tu mchungaji akarudi kukaa kuna watu huwa wanachomoka fasta wanakimbia matangazo🤣Mnada ni ziada na kwenye Liturgia haupo...umepachikwa tu pale.
Kwangu mimi kinachofanya nibaki pale ni Neno la kuagana..bila hivyo nisingebaki mnadani.
Ile harufu inashibisha aisee, mimi nikipika mwenyewe nakula mpkaa napasukaaa😂😂😂Kwa kweli
Yaani chakula nimetoka nacho mwenyewe jikoni..nimeonja chumvi,mchuzi uko vizuri,nionje kama kimeiva tayari kwa kupakua...yaani hadi namaliza hayo yote nakuwa sina hamu tena ya kula.
Mimi huwa nakuwa na hamu na chakula kilichopikwa na mtu mwingine.
Kama utakua uko active hizi ibada za kilokole baada ya neno tu mchungaji akarudi kukaa kuna watu huwa wanachomoka fasta wanakimbia matangazo![]()





Harufu inashibisha.Ile harufu inashibisha aisee, mimi nikipika mwenyewe nakula mpkaa napasukaaa![]()
nitakula hadi basi,ile hamu ya kula inaongezeka.Ile njaa vipi umeisahau? Huwag ukiomba wee saa sita ivi njaa😂😂😂
Matangazo nayo huwa yanachosha kimtindo..
Mimi kuna ratiba huwa naona hazina maana kwangu kwa kweli..
Ila kuna ratiba hazijawahi nichosha..mfano kuabudu na maombi..hata tungekesha siku nzima ni sawa tu!
Yeah ndo ivo...............Harufu inashibisha.
Mimi nikipika Wala sili,ile kuonja tu chumvi sijui kimeiva ndio basi inakuwa imetoka..kikifika mezani nakula kidogo sana.
Akipika mtu mwingine,yaani nikikute chakula mezani tayari aiseenitakula hadi basi,ile hamu ya kula inaongezeka.
Kuna siku nimeanza kupasha chakula saa7 za usiku.Ile njaa vipi umeisahau? Huwag ukiomba wee saa sita ivi njaa![]()




Kushandarize ni kufanyaje😂😂😂😂Kuna siku nimeanza kupasha chakula saa7 za usiku.
Kuna kasiku kangu huwa nafanya tuzoezi kwa kuomba angalau saa 1
Ile siku nimemaliza kushandarize 3hrs aisee tumbo liko empty..nikaenda kulala,haikupita hata dk 1 nikaenda tafuta chakula kilipo.
Nikachemsha na chai,
Ile njaa nilikuwa nayo ilikuwa hatari![]()
Haujui kushandarize??Kushandarize ni kufanyaje
Au ulikua unapambana na wachawi






Haya maombi ya ivo mazitoooo😅,Haujui kushandarize??
Kukoroga lugha za malaika
Kuna muda vibe linapanda hadi unajisikia kuruka
Kuna muda unaona malaika hawa hapa..Sasa vibe lake
Kuna muda unaona vitu vibaya ama vizuri..
Kuna namna kavibe kanaongezeka..Sasa unakuwa umeconcentrate kuomba,mambo mengine yanatulia kwa muda.
Hamna si mazito..Haya maombi ya ivo mazitoooo,
Me siyawezi ilo vibe linapandaje?



Wow ElegantSimple but niceView attachment 1738205
Happy birthday in advance dogoWow Elegant