B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,406
Basi endelea kula matunda kijijini😂😂😂mpka mbegu ziote tumboni mishikaki tuachie sisi.siwezi kabisa
Bora nikafundishe watoto wa chekechea.
Basi endelea kula matunda kijijini😂😂😂mpka mbegu ziote tumboni mishikaki tuachie sisi.siwezi kabisa
Bora nikafundishe watoto wa chekechea.
DahBasi endelea kula matunda kijijinimpka mbegu ziote tumboni mishikaki tuachie sisi.








Mwanamke huchoki nakupiga saundi wapiiiiii, 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Mimi mwenyewe kesho naamka mapema
Ona sasa unavyonitesa na wewe unajitesa
Naomba picha basi.
Oh sawaMkuu hizi lugha za kwenye kandanda..
Ukishindwa kufuzu na hujamaliza mechi zako, unasubiri kutimiza ratiba tu, ili uungane na wenzako waliokutangulia kufunga virago.
Naomba unitumie Basi jamaniMwanamke huchoki nakupiga saundi wapiiiiii,![]()

Tutale crush wangu haya tutayamaliza chumbani kuna wachawi saizi😂😂😂😂Dah
Nionee huruma crush,naomba picha .. I'm very tired![]()
Usinitanie bwanaTutale crush wangu haya tutayamaliza chumbani kuna wachawi saizi![]()

Nasubiri picha weweTutale crush wangu haya tutayamaliza chumbani kuna wachawi saizi![]()
😴💜❣️❤️🌹😴Nasubiri picha wewe
Jamani
Ujue leo silali bila picha
Sleep tight

Ngoja nikuambie kitu mwayaUjue leo silali bila picha![]()
Weka hata emoj...Ngoja nikuambie kitu mwaya
Nikishare picha huku sitokua comfortable tena, hii jf almost every one is anonymous sasa ukishare privacy ukawa well known hainogi tena that's the reason let's stay still......
,privacy yako itabaki palepale.JamaniNitakua najishtuki sana aiseee.

Ngoja nikuambie kitu mwaya
Nikishare picha huku sitokua comfortable tena, hii jf almost every one is anonymous sasa ukishare privacy ukawa well known hainogi tena that's the reason let's stay still......
Weka hata emoj...
Halafu ukishare Wala siwezi hata kukujua maana sikujui,privacy yako itabaki palepale.
Mmmh!!! kuna mtu kavamiwa ndan leo usiku na kufungwa miguu na mikono kisha akapigwa kisu cha tumbo then ila damu wakaandika ukutani ( mke wa mtu ni sumu ) kisha wakamuachaKweli??
Haya weka namba nikupigie sasahivi.
Aaah picha yenyewe imefutwa mna nini lknYaani kukubembeleza kote huku umeweka picha umejificha hivyo jamani???![]()