B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,413
Mbona we mchonganishi ivo ππππMmmh!!! kuna mtu kavamiwa ndan leo usiku na kufungwa miguu na mikono kisha akapigwa kisu cha tumbo then ila damu wakaandika ukutani ( mke wa mtu ni sumu ) kisha wakamuacha
Najaribu tu kuwaza Jack Palladino mbona kaa kizembe hvo lkn
Hahaha naona Saint Anne anajisahau sanaMbona we mchonganishi ivo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππFanya kama unajikunaHahaha naona Saint Anne anajisahau sana
Naomba uwe mlinzi wangu. Nahisi mambo mengi yananipita humu, aisee naibiwa bila kujua!Mmmh!!! kuna mtu kavamiwa ndan leo usiku na kufungwa miguu na mikono kisha akapigwa kisu cha tumbo then ila damu wakaandika ukutani ( mke wa mtu ni sumu ) kisha wakamuacha
Najaribu tu kuwaza Jack Palladino mbona kaa kizembe hvo lkn
MhhhHahaha naona Saint Anne anajisahau sana
Naomba uwe mlinzi wangu. Nahisi mambo mengi yananipita humu, aisee naibiwa bila kujua!
S T O I C huyoAaah picha yenyewe imefutwa mna nini lkn
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nikiwa napunguza mawazo baada ya Karma kugoma kusomeka![emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1737475
Mmmh!!! kuna mtu kavamiwa ndan leo usiku na kufungwa miguu na mikono kisha akapigwa kisu cha tumbo then ila damu wakaandika ukutani ( mke wa mtu ni sumu ) kisha wakamuacha
Najaribu tu kuwaza Jack Palladino mbona kaa kizembe hvo lkn
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha naona Saint Anne anajisahau sana
MchumbaMhhh
Kati ya vitu vinafanya niende kanisani ni huu mbaraka., yaan huwa nasikia raha tu mchungaji akiwa anasema hivyoNasubiri picha..
Yangu kwako hiyo[emoji4]View attachment 1737238
Hata mimi huwa nasikia raha sana aisee[emoji847]Kati ya vitu vinafanya niende kanisani ni huu mbaraka., yaan huwa nasikia raha tu mchungaji akiwa anasema hivyo
Hicho kipindi huwa kinanikera sana kwa kweli.Kweli tunatofautiana sana!
Mimi napenda sana kipindi cha mnada..
Ile nikisikia "nipe bei" nasikia raha sana...
Mara " elfu... kwa mara ya kwanza " mimi hoi kabisa!
Dah we mwanamke π[emoji3589]View attachment 1738120
Hiyo ni ibada au mnada?Why Mkuu unakerwa na ibada?
Ibada inakuwa ishaishaWhy Mkuu unakerwa na ibada?