Selfika na JF: Snap it. Show it

MUNGU wangu[emoji1751][emoji1751][emoji1751]
Umeona uniuze kabisa.
Lizarazu, SHIMBA YA BUYENZE naombeni tafsiri hapa tafadhali.
Sayai katika hadithi za Kisukuma ni kale kasungura kajanja kalaghai laghai ambako mara nyingi huwadanganya wanyama wengine na hata binadamu; halafu kanaishia kuwaingiza mjini huku kenyewe kakisepa kiaina. Sina uhakika kama nawe una usayai sayai kiaina [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona naonewa mimi.
PTER sayai mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu anaponda kupitiliza. Hamnaga mtu mzuri kwake kirahisi.
Siku akisifia mtu hadi watu wengine wanashangaa maana ye hasifiagi kabisa
 
Hahahaah.
Kwanza Hadi Sasa sijaona picha yako...unajua natakiwa nikuone kabla ng'ombe hawajaletwa eeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikata tamaa mazima baada ya kuona ulivyochanganyikiwa baada ya kuona siksi paki za Lizarazu. Mpaka ukaapa na kuhama uzi kabisa kwa sababu eti hakukuwa na kipya cha kuona tena. Acha tu nikomae na hawa ng'ombe. Ikibidi nitawaswaga tu nikawapige mnada pale Pugu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hukuona yeye alivyonimwagia sifa kwa kitrump chake matata kile[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] Hadi nikajihisi malaika ,kumbe Ni kimbaombao tu Cha vijijini huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nikaona nisiwe mchoyo wa fadhila ,nikamlipa kwa kumsifia haswaa.

Lizarazu ona unataka kupoteza ng'ombe huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…