Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,755
Mimi kuanzia leo cheo changu kitakuwa ni mpambe wako!😄😄😄Crush S T O I C
Mimi kuanzia leo cheo changu kitakuwa ni mpambe wako!😄😄😄Crush S T O I C
Machungu ya kitu gani?Tunajisahaulisha machungu na Snyder's Cut ya Justice LeagueView attachment 1729494
Sitaki[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi kuanzia leo cheo changu kitakuwa ni mpambe wako![emoji1][emoji1][emoji1]
Walinipiga ban kisa Kayafa kafa utafikiri mimi ndiye nimemuua!Mxiuuuuuuuuu zao!!Sitaki[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu kwanini hawakukupa ban japo ya miezi mitatu!
Jinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walinipiga ban kisa Kayafa kafa utafikiri mimi ndiye nimemuua!Mxiuuuuuuuuu zao!!
Kumbe ndio maana siku hizi umenisusa mchumba? [emoji4][emoji4][emoji4]Mimi kuongea ni mtihani sana.
Simu ikiita napata presha yaani[emoji1787]
Huwa nafikiria sana kuongea na simu na ninaweza nisipokee.
Yaani hadi nimempigia mtu simu au kupokea aisee,niwe nimemzoea na kumkubali sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani amemsusa mwenzie??Kumbe ndio maana siku hizi umenisusa mchumba? [emoji4][emoji4][emoji4]
Nahisi kama tumesusana, ila ww ndio umenisusa zaidi [emoji85][emoji85][emoji85]Nani amemsusa mwenzie??
Mimi au wewe?
Bora umekuwa mkweli tu kwamba umenisusaNahisi kama tumesusana, ila ww ndio umenisusa zaidi [emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] sawa bhana.Bora umekuwa mkweli tu kwamba umenisusa
Ngoja tuone[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] sawa bhana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi nikimdhibiti Karma baada ya kutoka ban na kusikia kuwa amechepuka![emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 1733347
Wewe tayari umeshashinda mchumba [emoji28][emoji28][emoji28]Ngoja tuone
Sijui nani atakuwa mshindi[emoji23][emoji23][emoji23]
Oh kumbe[emoji56]Wewe tayari umeshashinda mchumba [emoji28][emoji28][emoji28]
Baby naomba unitext whatsapp. Plz honeylove [emoji3590][emoji3590]Oh kumbe[emoji56]
Ngoja tuone kama kweli nimeshinda hii mechi ya ukimya
Sasa umevaa nguo ya nani?Mimi nikimdhibiti Karma baada ya kutoka ban na kusikia kuwa amechepuka![emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 1733347
Nikikutext Mimi inamaana nitakuwa nimeshindwa hii mechi,Baby naomba unitext whatsapp. Plz honeylove [emoji3590][emoji3590]