Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwaio hujapendezwa na chochote kingine,naskia wanasema hakuna motoni?
Hakuna moto, hakuna mbingu (mbinguni kumeshajaa), hakuna trinity na Yesu ni kaka yetu mkubwa kwa maana kwamba alikuwa ndiye kiumbe wa kwanza kuumbwa na Mungu. Hata dhana ya wokovu ni tofauti kidogo. Wana mafundisho mazuri sana na yenye kutia moyo mno! Pia ni wastaarabu kweli kweli na huwa napenda sana kuzungumza nao kwa kina.
 
Very interesting........
Wakosaji wakiwa humo wanarelax sana.
 
Back
Top Bottom