geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,227
Habari yangu nzuri!!! 💫 ✨Marahaba mdogo wangu? Habari ya weye?
MnoWako vizuri sana.
Kuna ile Banana unaifahamu?
Kuna kavibe fulani hivi ka kula njianiCrush uko vizuri
Ila chakula ni kitamu bhna ile feeling ya msosi kwenye mdomo.


Nikipata wasaa miaka ijayo nitawatembelea nione wana-abudu vipi!!Mno
Nimependa wanavyoongea..walikuja mashahidi wazungu...lafudhi yao imenifanya nienjoy zaidi.
Waweza tenga siku yoyote ukaenda..Nikipata wasaa miaka ijayo nitawatembelea nione wana-abudu vipi!!
Vibe lipo ila mimi nina aibu sana kula mbele ya mtu nisiye mfahamu, macho ya watu, kwaio labda nile vikorosho etc.Kuna kavibe fulani hivi ka kula njiani
Sema watu wa Mbeya huwa tunakula hela kubwa kuzidi nauli tuliyoitumia.
Kwaio hujapendezwa na chochote kingine,naskia wanasema hakuna motoni?Waweza tenga siku yoyote ukaenda..
Mimi napenda tu utaratibu wao wa kugawa vijarida na vitabu bure.
We mdada hujambo?Na picha
Sijambo mdogo wanguWe mdada hujambo?
ndio crush wa kalumbu....ndio unakunywa??Kuna ile Banana unaifahamu?
Hii ni mbinu yako nisikutongoze? 🙂Sijambo mdogo wangu
Hapana sinywagi pombe ila naifahamu.
sasa kwann hunywi pombeHapana sinywagi pombe ila naifahamu.









Sidhani mdogo wanguHii ni mbinu yako nisikutongoze? 🙂
Sio jambo langu 🙂
Basi usiniite mdogo, weka kaka angu still ni defensive mechanism.Sidhani mdogo wangu