Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Mimi nakula kila kitu na Wala sijawahi ugua tumbo njianiUlishawahi kuchanganya madesa mpaka tumbo likakuchachamalia? Kuwa mwangalifu hii isije ikakutokea. Safari utaiona chungu.
(Wasukuma tunasifika kwa kula kula safarini. Kwa hiyo nina experience)
Tena naanza kula Mara tu baada ya kuanza safari.


.