Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Amkeni!

Mashahidi wa Jehova kazi yao ni njema Sana...jarida bure[emoji176]
IMG_20210323_135215_1.jpg
 
Hahahahaa umenikumbusha juzi tumetoka kanisani nikamwambia rafiki angu ni lazima twende kwenye mafufu, bila hivyo sirudi home daaah
Haya mambo tunaelewa watu wa Tukuyu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi siwezi pita bila kununua kwa kweli.
Kila safari lazima nile njiani[emoji1787]View attachment 1732428
 
Hahahahaa umenikumbusha juzi tumetoka kanisani nikamwambia rafiki angu ni lazima twende kwenye mafufu, bila hivyo sirudi home daaah
Angekataa kukupeleka huko kwenye mafufu ina maana mpaka sasa ungekuwa bado hujarudi nyumbani? Misimamo mingine bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Huwezi amini alinikatalia, eti nimezidi kumsumbua. So ilibidi niende tu na wanangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angekataa kukupeleka huko kwenye mafufu ina maana mpaka sasa ungekuwa bado hujarudi nyumbani? Misimamo mingine bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Hahahahaa umenikumbusha juzi tumetoka kanisani nikamwambia rafiki angu ni lazima twende kwenye mafufu, bila hivyo sirudi home daaah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi kama mtu hapendi kula safarini basi asiongozane na mimi kabisa.
Siwezi kabisa kuvumilia kukaa bila kula aiseee...safari nzima nanunua tu kila kitakachopita.
 
Ulishawahi kuchanganya madesa mpaka tumbo likakuchachamalia? Kuwa mwangalifu hii isije ikakutokea. Safari utaiona chungu.

(Wasukuma tunasifika kwa kula kula safarini. Kwa hiyo nina experience [emoji16][emoji16][emoji16])
 
Back
Top Bottom