Kaka mkubwa kwema?
Covid-19 is karmic,la kujifunza hapa ni kwamba upumbavu unaua!Mzee Mwenzangu Taratibu usile ban week hii kwa kusheherekea....
Behaviourist
Leo dada moyo wangu unaungua mnoWema wako
Si kwa wakati wa furaha tu
Wema wako pia wakati
Hata wa machozi
Wema wako haupimiki
Kwa majira fulani tu
Wema wako ni kila wakati
Na kila nyakati
Hata sasa ni Mwema
Tunapoimba ni Mwema
Tunapolia ni Mwema
Tunapo cheka ni Mwema
Tunapopanda ni Mwema
Tunapovuna ni Mwema
So wewe ni Mwema, umwemaaaa
Wewe ni Mwema
Wewe ni Mwema, umwemaaaa
Wewe ni Mwema
Mungu atabaki kuwa Mungu,


Pole kipenzi ata hili litapita,Leo dada moyo wangu unaungua mno
Hata kuimba siwezi![]()



Haya kafanye sherehe sasa
Crush yaani acha kabisaPole kipenzi ata hili litapita,
Mwendo kaumaliza tuliobahatika kuwepo tuendelee na safari salama.
















La kujifunza hapa ni kwamba upumbavu unaua.Iheshimu sana sayansi.Unapoambiwa kuwa Corona ipo na inaua ni vyema kukiri kuwa ipo na uchukue tahadhari zote za kisayansi.Kila siku huwa nasema kuwa Mungu huwa halipi maombi bali huwa analipa jitihada.Haya kafanye sherehe sasa
Kwanini?Nyie usingizini hauji🤦
Si tumeshanza maombolezo kwa kulia au wewe una adhimisha.Kweli huwezi jua litakalotokea...yani nimetafuta bia kwenye friji hamnaa,k vant kabatini hamnaa hata kisavanna cha wife hamna.....
Daaaaa na siwezi toka saa hii
💔💔💔💔💔Crush yaani acha kabisa
Nimetoka kupokea pigo moja huko kwa simu yangu..naanza kuliugulia Mara ghafla linakuja jingine hili
Sijui hata naugulia vipi mimi jamani
Corona ina utaratibu wake wa ajabu sana, ina wivu na inapenda kutawala. Ukikataa kuidhibiti ni lazima ikutawale.It started in Burundi!Haya kafanye sherehe sasa