Mimi huyo mdudu SR,licha ya kwamba nilimfungua mara nyingi Sana ila sijawahi kumzoea
Matokeo yakija yaani kifungua Sr ni kimbembe,,, nakumbuka mara ya mwisho naangalia aisee
,kabla sijafungua nilisweat mikono yote
Kwanza watu watoa taarifa wa group la darasa..oyaa sr imetema.
Tumbo lilivuruga....na nilikuwa na stress zangu kibao, nikasema siangalii leo.
Nikajikaza bila kufungua,ilipofika usiku si nikaanza kuiota,,nyotanyota haziishi kichwani..usingizi wa mang'amung'amu
nikawahi saa 11 nikafungua at least nafsi ikafurahi.