Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo kibokooh khaaaaah. Hapana kwa kweli.
Afu ukute mtu anasema chuo simple tyuuh, mwendo wa kula bata, huwa najiuliza vyuo hivi hivi au mie ndo sielewi. Lol
Yaani yule unadisco anakuona hivihivi.
Carry over yake usipokaza kusoma,usitegemee atakuokoa[emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu haoni shida kutandika watu carry-over mwaka wa mwisho [emoji23][emoji23]

Kuna watu walikuwa wanatia huruma jamani.. mtu unarudi kusoma chuo nwaka wa ziada kisa somo lake. .
Na vile umekaa chuo miaka miaka,unakuta hadi watoto uliowaacha chekechea wanakukuta chuo kikuu bado unasoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Pona pona yake ufaulu UE ,asikukamate.
Ndio ule muda unaomba upate hata 'C' tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaiomba ishuke ije Kama unavyoomba ufalme wa Mungu uje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mshamba huyo anasababishia watu msongo wa mawazo.
 
Mshamba huyo anasababishia watu msongo wa mawazo.
We acha tu[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa hana huruma hata kidogo!mkavuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikawa nawaza akinikamata mwaka wa mwisho aisee[emoji119]ningekufa kwa presha.
Yaani nimalize halafu nirudi tena kusoma carryover??badala mtu uwaze internship,unawaza kwenda kusoma carry[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Kuna madogo watakuja kufa kwa presha hivihivi [emoji1787][emoji119]
 
Yani huko vyuoni kuna walimu wana roho ngumu sana wanasababisha baadhi ya wanachuo wawe na depression hahaha!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila maisha ya chuo jamani lol, huwa naomba sana Jah asaidie, nisipate sup, wala ku carry, ku disco najua haiwezi kuwa kamweeeh.
Mtu anasota chuo utadhan kaweka kambi khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee cc bhana lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…