Sisi wetu akikunasa nyavuni ndo unamjua alivyo
Anasema Kama umeshindwa kufaulu somo lake semester nzima miezi minne,haamini Kama unaweza kulifaulu kwa wiki moja ya supplementary..
Yaani haoni shida darasa zima kurudi September
Na mkirudi kuchomoka ni Kama Mungu tu..aki ya nani sitamani tena shule