Selfika na JF: Snap it. Show it

Twin 🙇🙇🏃🏃🏃🏃
Nifanyie summarization pls
 
toka uzaliwe umeongea point tunazaraulika sana watumia Tecno na Itel
 
Utakuwa classmate wangu niliyekupiga chini maana ulikuwa unajitahidi sana kunipeleka MANGESHO
 
Wanaume wote wanaoongea shit humu nakuambia hakuna kitu hawana pesaaa hawana lolote, wenye hela wapo kimyaaaa wanahonga tu viwanda na viwanja, achana nao.
Wanaume wenye pesa zao humu mubarikiwe jamani na nyie ambao hamna pesa pambaneni mtafute jamani hasira zenu msizimalizie humu.

 
📌📌📌
 
Sasa mimi naweza nikamuona mtu nzuri ila rafiki zangu wakasema sio mzuri.
Ndo maana wanasema nasifiaga kila mtu.
Nina rafiki yangu huyo akisifia mtu hadi mimi nashangaaga. Maana anajikubali mbayaaaaa na anajua kuponda kila mtu.
Nahisi katika rafiki zake tuko wawili tu ambao hajawahi kutusema ni wabaya
Hahahaha mimi sisifiagi kila mtu aise maana siwezi kuwa mnafiki yaani nikikuambia wewe ni mzuri ujue nimekuona mzuri kweli yaani hiyo compliment inakuwa imetoka moyoni hata Saint anne anajua hili
 
Daaa kuoa mwanafunzi aliemaliza chuo halafu anaviwango vya tbs yataka moyo sana...yani wametumika balaa,mume unaweza kua mtu wa 200 kwenye mwili wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…