Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
ninangoja mpenzi
Kaeni kwa kutulia hivyohivyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Oneni ninavyowaletea mkwepu jukwaani
mkwepu jr baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama huna bando leo nitakununulia[emoji23]
[emoji23][emoji23] akununulie kabisa sio anakuonjesha tuYaan mie kusukuma ndinga ndo starehe yangu, nikiwa nakanyaga mafuta pale mbele, naiona dunia yote yangu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kuna mtu kashajua udhaifu wangu, akiona tyuuh sipo sawa ananipa funguo ya ndinga, oooooooh hapo sasa moyo unaitikia "ewaaaaaaaah".
🤣🤣🤣Eti ni kweli tiali?
Subiri uone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ngoja aje kwanza ndio nianze kuimba naye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ninangoja mpenzi
Bado kidogo ajeMida yake ibakaribia
Eti ni kweli tiali?
Mtasubiri Sana[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😄😄😄Mtasubiri Sana[emoji23][emoji23]
Hovyooo!!!
Mkuu usinifanye niuze kiwanja changu cha Goba niwahi bar kushangilia!😄😄😄Ishara tu inatosha
Tuombeane kheri...kukichwa kutapambazuka... Makinika na kitengo. Zinatengenezwa speculations za kila aina..kila saa...na kati ya zote hizo yenye ukweli haimoMkuu usinifanye niuze kiwanja changu cha Goba niwahi bar ati![emoji1][emoji1][emoji1]
Mpka muda huu!! kasha kuangusha hyoBado kidogo aje
Angejua nimemsubiri kwa kitambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka umpe zawadi ya ushindiTunafanye sasa mama[emoji7] angalau aandike kitu jmn..
Ujue toka najiunga jf nimekuwa makin sana kwa member wote wa humu, wapo tulio tanian matani ya hapa na pale,
Lakn toka nimjue hyo mjamaa basi ata ukiniamsha usingizini uniulize kwa wanaume wa jf wote ukipewa nafs ya kuchagua unae mpenda utamchagua nn aiseee
Hyo jamaa ata angewekwa namba ya mwisho ningeakikisha namfikia wallah tena..
Pole sana mkuu Mungu akujalie upone haraka.Wakuu Niko admitted Dodoma General hospital since last Sunday, abdominal pains. Prayers zenuView attachment 1722921
Dah pole sanaa mdau tunakuombea kwa hakikaWakuu Niko admitted Dodoma General hospital since last Sunday, abdominal pains. Prayers zenuView attachment 1722921
Pole sana mkuu. Mungu ni mwema utapona tu.Wakuu Niko admitted Dodoma General hospital since last Sunday, abdominal pains. Prayers zenuView attachment 1722921
Subra yavuta heriMpka muda huu!! kasha kuangusha hyo
Pole bossWakuu Niko admitted Dodoma General hospital since last Sunday, abdominal pains. Prayers zenuView attachment 1722921