Selfika na JF: Snap it. Show it

hahahahaha mimi nina kigugumiz hatari sipendi kuongea kabsa.....kuna sehemu nilienda walijua bubu week sijaongea

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimefurahi me nikijua hyu mtu ana kigugumizi siachi kumuongelesha nakwambia kila sekunde nina wewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ata ii nayo tamu kama RR tu View attachment 1722732
Thubutuuuh weeeh, ila kuna best angu ndo Mr wake anayo km hiyo, huwa tukiwa wawili nakanyaga mafuta mie, ni tamu ila sio kwa RR,
Kuna siku nilipata lift ya range rover dadeki, nusu nimuombe jamaa nizungushe mie usukani, yaan ndinga unaisikilizia utamu had kwenye utumbo mpana. Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we endelea kubisha Siku ntapost RR yangu apa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we endelea kubisha Siku ntapost RR yangu apa
Yaan mie kusukuma ndinga ndo starehe yangu, nikiwa nakanyaga mafuta pale mbele, naiona dunia yote yangu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kuna mtu kashajua udhaifu wangu, akiona tyuuh sipo sawa ananipa funguo ya ndinga, oooooooh hapo sasa moyo unaitikia "ewaaaaaaaah".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…