Selfika na JF: Snap it. Show it

Kinamama wa Manispaa ya Mtwara Mikindani wamemvisha Taji la Malkia wa Nguvu, Mstahiki meya wa mji huo mama Shadida Ndile, kuenzi kile anachowafanyia wana Mtwara.
Shidida Ndile ndiye Meya pekee mwanamke anayeongoza Manispaa,miji na majiji kati ya Halmashauri 188 nchi nzima.
Pia mstahiki Shadida ndiye mwanamama wa kwanza kugombea na kushinda wadhifa huo tangu uhuru wa nchi hii miaka 59 iliyopita.

Hongera mama Shadida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…