Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
🤣🤣🤣Akiwa chukuchuku limao chumvi na pilipili nyingi hapo Sawa kabisa.napenda kuwashwa😁😁
🤣🤣🤣Akiwa chukuchuku limao chumvi na pilipili nyingi hapo Sawa kabisa.napenda kuwashwa😁😁
Kaka chura hivi na Wewe ni mnyakyusa ehDona kwa kuku wa kienyeji je?![]()
🙆♂️🙆♂️🙆♂️Akiwa chukuchuku limao chumvi na pilipili nyingi hapo Sawa kabisa.napenda kuwashwa😁😁
Mmmmmh hongereni hii na novida nikiona tyuuh, napatwa kichefu chefu, harufu sasa ndo hatareeeh.Soda tamu kuliko zoteView attachment 1719463
Wapi hapa dea?
Basi huzijui soda tamuMmmmmh hongereni hii na novida nikiona tyuuh, napatwa kichefu chefu, harufu sasa ndo hatareeeh.

Znz😊😊Wapi hapa dea?
🤪🤪Hebu rudisha mikono Mahala paje tuzungumze🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Eti kaka chura 😂😂😂jamani...Kaka chura hivi na Wewe ni mnyakyusa eh
Eti kaka churajamani...




Ohooooo oky 😃😃😃😃
Eeh yeye alikuwaga ananiita toto tundu nami ikabidi nimuite kaka chura
Karma ndiye mdada pekee JF ambae watu hufikiri kuwa ni mkaka!🤗🤗🤗Kaka chura hivi na Wewe ni mnyakyusa eh
Wacha wee, muendelee kufaidi bas, sie wengine maji ndio soda zetu.Basi huzijui soda tamu
Spar letta ni mwisho wa utamu wa soda zote![]()
Jamani hebu rudi bara, hivi huko znz nako kuna wazungu kumbe?
Hii siku nilikuwepo hapo Chakorii amini. I was with my best friend from Belarus na Hilo eneo nalijua 😂😅