[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah wee lol[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]yaani watoto acha tu!
Kwenye maji haiponi.
Walishaua simu kibao...kitendo cha kugeuka tu kidogo simu ishazamishwa kwenye uji tena wa Moto..nilitoa haraka[emoji86]sikujali hata km ni wa moto
Sent using Jamii Forums mobile app
Macho yangu yameona note tyuuh. [emoji39][emoji39][emoji39]Ni siku nyengine tuamke kupambana. [emoji123]View attachment 1716147
Babuuh sioni vizuri giza.
Ngoja na mimi leo nijilipue,liwalo na liwe!Chat na picha wapendwa
Hivi nikipitaga Moshi nakuwa natizamia wapi sijui, sijawahi kuuona Mt. Kili kwa kutokea Moshi. Nilishawahi kuuona kwa Arusha - Njiro (kilele tu[emoji2511]View attachment 1714615
Mr. UnlockFanta orange. View attachment 1714811
Leo sisemi foodie monga wa Selfika.
[emoji23][emoji23] usipende sana pesaMacho yangu yameona note tyuuh. [emoji39][emoji39][emoji39]
Yeh soda moja nzuri sana.Mr. Unlock
Ina unlock chap sana Fanta..
DepalLeo sisemi foodie monga wa Selfika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona hana chura? [emoji23][emoji23][emoji23]
She's still lovin me through my painsMbona hana chura? [emoji23][emoji23][emoji23]