Zimetumika boss usiwaze kuibiwa!
Ushadokoa samaki !

Kwa tabia hizi za mafundi mara nyingi ndiyo hufanya watu wengi tuanze kuona ujenzi mgumu, kufikia hatua hata kichumba kimoja kujengwa miaka miwili 😀😀😀Zimetumika boss usiwaze kuibiwa!
Haha..nilikuwa namuonja kama ana sumu.Ushadokoa samaki !![]()
Yeah!!..nimemla upande na nikamgeuza upande mwingine tena nikamlaUkimla samaki shurti umgeuze
Vizuri sana kama ni kwema kabisa pande hizi mkuu....Kwema kabisa kaka...Mimi ndio maana napenda sana kula samaki
Mmh mbona wengi wanasema tofautiUkimla samaki shurti umgeuze
ulipo
Hongera sanaulipo
nimekumiss.
.eeeh kalumbu amekua kesho anatimiza miez 9
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Jana na leo.
Poaah poaahOkay, mi napita chap niko na mishe TPC
Enjoy it.Fanta orange. View attachment 1714811