Bwana, mkombozi wako, mtakatifu wa Israeli, asema hivi; Mimi ni Bwana, Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida, nikuongozaye kwa njia ikupasayo kuifuata.
Lakini hata na wewe umebadili uncle bahati nzuri jina hili nalijua. Hivyo nilivyoliona tu nikajua ni wewe umelirudia japo hata mimi pia hili jina nimelirudia.
Daah hauwezi amini ile kazi hadi leo sijaifanya! Tatizo ile kazi siyo ndogo uncle!