mie sio kila mtu naongea nae, na principle yangu hii
ngeni huwa sipokei wala kumuuliza nani. Atajitambulisha mwenyew kwa text then ntampigia if possible.
Yaan huwa nadeal wale wa muhimu kwangu, lazima niwapigie au sivyo natuma please Call me.
Kuhusu kuchat hapana aseeeh swez kamwe.