Ahsante, Inakuaje unanitukania Mama yangu kisa picha niliyoweka kuna uhusiano gani wa hiyo picha na mama yangu?? Why usini attack mimi kama mimi...
Wakati mwingine unapotaka kuchangia wazo lako epuka sana kuhusisha wazazi, ningekuona una hekima na busara kama usingetanguliza hilo tusi hapo juu...
Pili, hiyo picha sio ya Mtu wangu nilitaka kupima mentality zenu humu ndani na nimewapatia vizuri tu najua mnatamani sana kumfahamu, ila kwa kukusaidia jua ni mzuri wa wastani na anajitambua vyema tofouti na nyie humu ndani...
mi nkajua ndo yeye mwenyeweMpe hela akatengeneze kucha ziwe safi kama ulivotuhubiria ile siku kuhusu kucha.
Atoe hiyo rangi kabisa na kupaka nyingine au atoe kabisa.
Akate na kucha.
Nimegundua hamkuielewa movement yangu humu,,, mi ndo kapeace,,,
Umeonaee ndio mana mama akampenda akazaliwa mrembo kama ww meeyahBaba zetu ni wazuri, hakuna tatizo mkuu
Hahah nimemjibu mwenzenu huko juu najua mnatamani kunifahamu na pia kufahamu ninapokojolea ila ndio hivyo tena haiwezi tokea...
Niwe Mkweli tu, yule sio mtu wangu ni picha nilichukua mtandaoni huko na nilipost kimakusudi nisike mtakuja na hoja gani na ninmegundua kitu kwenu, nitabaki nacho moyoni siwezi weka hapa kuleta mgongano kwenye nyuzi za watu...
Kuhusu Itel, ni mmoja wapo ya simu zangu ndogo ninazotumia kwa sababu inakaa na charge muda mrefu, na kuhusu smartphone natumia simu yenye bei tu sina haja ya ku prove hilo kwa sababu wengi wenu najua mnatumia tecno tu ndio maana picha zenu haziko clear kiasi hicho...
Na kingine, kuhusu kazi wala sina haja ya kujisifia sehemu ninazoingia hapa Nchini itachukua muda pengine koo/familia yenu kuja kuingia, na nimegundua humu wadada wengi hamna kazi zinazoeleweka ndio maana mko online 24/7 mjitahidi kufanya kazi pengine mtaepuka hii psychology ya kushinda mtandaoni masaa yote hayo...
Kuhusu mama watoto wangu sijui hata kama umemsogelea kielimu, kiuchumi, kifikra n.k... Jua tu yuko X100 ahead of you...
NB: Ukitaka picha zaidi za huyo mdada naweza kukupa jina ukaenda kumtazama huko mtandaoni..
kama wanafanana
Nimekuvulia kofia.[emoji28][emoji28]Hahahaha
Ukishindwa kumshinda adui basi ungana nae
Adui mpende
Nimegundua hamkuielewa movement yangu humu,,, mi ndo kapeace,,,
Wacha weee baada ya makavu umeamua kukanusha sio demu wako.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].Hahah nimemjibu mwenzenu huko juu najua mnatamani kunifahamu na pia kufahamu ninapokojolea ila ndio hivyo tena haiwezi tokea...
Niwe Mkweli tu, yule sio mtu wangu ni picha nilichukua mtandaoni huko na nilipost kimakusudi nisike mtakuja na hoja gani na ninmegundua kitu kwenu, nitabaki nacho moyoni siwezi weka hapa kuleta mgongano kwenye nyuzi za watu...
Kuhusu Itel, ni mmoja wapo ya simu zangu ndogo ninazotumia kwa sababu inakaa na charge muda mrefu, na kuhusu smartphone natumia simu yenye bei tu sina haja ya ku prove hilo kwa sababu wengi wenu najua mnatumia tecno tu ndio maana picha zenu haziko clear kiasi hicho...
Na kingine, kuhusu kazi wala sina haja ya kujisifia sehemu ninazoingia hapa Nchini itachukua muda pengine koo/familia yenu kuja kuingia, na nimegundua humu wadada wengi hamna kazi zinazoeleweka ndio maana mko online 24/7 mjitahidi kufanya kazi pengine mtaepuka hii psychology ya kushinda mtandaoni masaa yote hayo...
Kuhusu mama watoto wangu sijui hata kama umemsogelea kielimu, kiuchumi, kifikra n.k... Jua tu yuko X100 ahead of you...
NB: Ukitaka picha zaidi za huyo mdada naweza kukupa jina ukaenda kumtazama huko mtandaoni..
Nje ya uzi, hivi kwa nini uliamua kujiita Karma ?Hapana mkuu mie nimepiga Mzumbe ya Mbeya
Emu nyamaza nawe utakuja kujichanganya bure ππππHuyo mdada kanikera sana mkuu, najua wanatamani kunifahamu sema ndio hivyo hawawezi, na pia hivi karibuni kumezuka ka mtindo baada ya kuleta lile tangazo la kazi la kutafuta mwanadada aliesomea Engineering niliweza fungua PM yangu na nikasahau kuifunga kama hapo mwanzo....
Nimekuwa nikifuatwa na wadada wenye ID mpya mpya wakinichombeza wanadhani mimi ni mwepesi kiasi hicho kutoa namba zangu nimeishia kuwatazama na kuachana, wanatumia mbinu za zamani sana...
Halafu nimekuja gundua wachangiaji wengi especially wadada ni kama vile hawana kitu cha ziada cha kuwaweka busy, muda wote naona wapo online, halafu cha maana wanacho discuss hakuna...
Kuwa online ndo kazi yetu mkuu..Bora uwaache ukafanye kazi zako za maana. Kuendelea kuwepo hapa inaonyesha kuwa huna tofauti na wao.Huyo mdada kanikera sana mkuu, najua wanatamani kunifahamu sema ndio hivyo hawawezi, na pia hivi karibuni kumezuka ka mtindo baada ya kuleta lile tangazo la kazi la kutafuta mwanadada aliesomea Engineering niliweza fungua PM yangu na nikasahau kuifunga kama hapo mwanzo....
Nimekuwa nikifuatwa na wadada wenye ID mpya mpya wakinichombeza wanadhani mimi ni mwepesi kiasi hicho kutoa namba zangu nimeishia kuwatazama na kuachana, wanatumia mbinu za zamani sana...
Halafu nimekuja gundua wachangiaji wengi especially wadada ni kama vile hawana kitu cha ziada cha kuwaweka busy, muda wote naona wapo online, halafu cha maana wanacho discuss hakuna...
Jamani me huyu nishamsoma muda tu Jana baada ya kukwambia amnunulie bi Dada REMOVER nikabadilishiwa mada juu kwa juu ' mtoto wa singida aishiwi utamu na vbla bla ikabidi nilike tu then nikatulia.Wacha weee baada ya makavu umeamua kukanusha sio demu wako.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Hivi sio wewe comments za nyuma ulikuwa unatunanga tunapenda kufake maisha na kupost picha za mtandaoni?
Hauchomoki Leo. Uwe unaweka akiba za maneno wakati mwingine inasaidia sana.
Haya screenshot hapo ulipoitoa hiyo picha post.
Asee unakojolea sehemu ya hovyo ndio maana unamaumivu na wadada wa jf na bila kusahau huwa anakulisha mavi mabichi. Akate kucha.
Huyo mdada kanikera sana mkuu, najua wanatamani kunifahamu sema ndio hivyo hawawezi, na pia hivi karibuni kumezuka ka mtindo baada ya kuleta lile tangazo la kazi la kutafuta mwanadada aliesomea Engineering niliweza fungua PM yangu na nikasahau kuifunga kama hapo mwanzo....