Nenepa baba..maisha yenyewe mafupi sana.Na ninavyopenda kudekezwa sasa, ngoja nijiandae kunenepa kwa huduma zako
Angalia ratiba ya ndege on Wednesday kuja Bara. Ila ndiyo oneway, hakuna kurudi tena Zanzibar
Jamaa vyakula vya kwetu Afrika huvitaki?Nyanya chungu,bamia [emoji39][emoji39]
Kwanini nisivitake Chief??Jamaa vyakula vya kwetu Afrika huvitaki?
0p1ly1Uliyoninunulia iko wapi nami nile??
lp
Naisubiri hapa nje ππ
Yai tyuuh bas [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Imeisha...karibu lunch πNaomba dea jomoneeeh
Dea mie sishibi wallah.
Nakuja dea nipo njianImeisha...karibu lunch [emoji846]
Safi mkuu[emoji106]Kwanini nisivitake Chief??
Napenda ugali,nyanya chungu,biti fanya,bamia na matembele
Njoo uchukue[emoji23]Yai tyuuh bas [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Ntumie kwa wakala eti.Njoo uchukue[emoji23]
[emoji23][emoji23]Ntumie kwa wakala eti.
Sawa, ni yule Mlinzi mrefu kuliko wenzake?Nimemuachia mlinzi ππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiyo bhana[emoji23][emoji23]
Sawa Mama, nimeshakuhamu hapa. Natamani hizo siku zikimbie uje πNenepa baba..maisha yenyewe mafupi sana.
Wala usihangaike na ndege ndugu yangu.nitapiga mbizi Bahari ya Hindi mpka Nifike bara.
[emoji23][emoji23]watu gani?Kuna Watu wana raha